Unaniaca unaenda tena Nabaki apa mimi peke yangu Watoto, watoto wanaliya Usiende... Kembo, kembo, kembo... Watoto wanaliya...wewe 'napashwa' Wandugu wanaliya... Ni wewe 'napashwa' Ata mama yako analiya 'napashwa' Mimi bibi yako naliya Usiende na sorrow Nitangoja...kembo 'usiende na sorrow Tutangoja' Usiende na sorrow Tutangoja...kembo Watoto wanaliya...hood !!! 'unapashwa' Wandugu wanaliya...hood !!! 'unapashwa' Ata mama yako analiya 'unapashwa' Mimi bibi yako naliya Usiende na sorrow Nitangoja... Kembo... kembo...kembo...