Artist: A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Songs    | Albums    | Album Arts

Hep Stars - Malaika Lyrics - Zortam Music
Song:Malaika
Album:The Hep Stars: 1964-69Genres: 
Year: Length:169 sec

Lyrics:

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika

Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika




 

All lyrics are property and copyright of their owners.
2025 Zortam.com