Songs | Albums | Album Arts
Song: | Like An Angel |
Album: | | Genres: | Pop |
Year: | | Length: | 225 sec |
Lyrics:
Analiya disiwe Mume wake Ajali haina kinga Wala kafara Anaenda kijana Maladi inamushinda Ana aca bibi Na mutoto mudogo Mwanaume Analala kimya Like an angel Mbele ya kufunga maco Alimwambiya: 'bibi yangu unisamehe Ju sina mali Ya kukuaciya Mungu akulinde Like an angel' Mawa ju kijana ule Anaenda huruma Mawa oh ! maliyo ! Sheria ya mungu mama Hayijulikane Ajali haina kinga Wala kafara : 'kwaheli Mpenzi wangu Wende salama Lala...like an angel Like an angel'
|