Auto Mp3 Tagger
 Artist: A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0-9

Download Now!!!

Songs    | Albums    | Album Arts

Khadja Nin - Sina Mali, Sina Deni Lyrics - Zortam Music
Song:Sina Mali, Sina Deni
Album:Women Of AfricaGenres:makossa
Year:2004 Length:249 sec

Lyrics:

Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu
Mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
Sina mali, Mungu, sina deni




 

Download Now!!!

Copyright © 2020 Zortam.com. All Rights Reserved.   Zortam On Facebook Zortam On Twitter