Auto Mp3 Tagger
 Artist: A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0-9

Download Now!!!

Songs    | Albums    | Album Arts

Khadja Nin - Wale Watu Lyrics - Zortam Music
Song:Wale Watu
Album:SamboleraGenres:Ethnic
Year: Length:239 sec

Lyrics:

Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku
Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku




 

Download Now!!!

Copyright © 2020 Zortam.com. All Rights Reserved.   Zortam On Facebook Zortam On Twitter